banned from sub reddit

Seems like admin wa r/Nairobi alicatch feelings after nilimpiga facts left, right and centre. Kidogo kidogo, I find I am already banned from the subreddit. Nini mbaya na watu siku hizi? Ukianza kupewa facts kidogo unacatch feelings kama mtoto mdogo.